BINTI ABAKWA MPAKA KUFA MBELE YA NYUMBA YA IBADA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, August 25, 2013

BINTI ABAKWA MPAKA KUFA MBELE YA NYUMBA YA IBADA


Binti mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Mariam umemkuta umauti baada ya kubakwa mpaka kufa,vijana hao waliokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu walifanya kitendo hicho mbele ya eneo la kanisa huko Nachingwea Lindi.Marehemu akitoka Nachingwea Resort  katika muziki siku ya ijumaa.Inasadikika kuwa marehemu alikuwa amelewa na watu walio mbaka alitoka nao kwenye muziki.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages