
Angel
Maggie ni Mkenya ambaye wiki hii amepamba mitandao kadhaa ya nchini
kenya akisemekana kuwa mpenzi wa mwanamuziki Diamond Platinumz ingawa
Diamond mwenyewe bado hajaweka wazi kama ni kweli au lah! licha ya
kwamba wanajuana muda sasa.
![]() |
Hata katika shows alizofanya Diamond hivi karibuni Nairobi na Mombasa alikuwa na Angel muda mwingi. Angalia picha zake mpya.......................