MAAJABU UCHAGUZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA (A.J.T.C) MSHINDI APITA KWA KISHINDO - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, May 24, 2013

MAAJABU UCHAGUZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI ARUSHA (A.J.T.C) MSHINDI APITA KWA KISHINDO

Baada ya siku nne ya za kampeni ndani ya chuo cha a.j.t.c hatimaye mshindi apatikana kwa kishindo huku nderemo na vifijo zikitawala ndani ya ukumbi wa chuo hicho, pasipo kujulikana mshindi ni nani watu wakisubiri kwa hamu matokeo ndipo mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi SHEDRACK MGAYA alipo ingia ndani ya ukumbi huo na kuanza kutandaza matokeoa. kati ya kura 202 zilizo pigwa na kura tisa ndizo zilizo haribika, huku mgombea wa kwanza ambaye niJOSEPH RICHARD amepata kura 31, na wapili NDALIKE SAIDI SONDA amepata kura 33, na kubakiwa na GEORGE COSTA SILANGE kabla ya kutangazwa wanafunzi walianza kupiga kelele na mavuvuzela kwa shindo kwa kuwa walikuwa wamesha mjua mshindi ni na nani. mwenyekiti wa uchaguzi alimtangaza GEORGE SILANGE kuwa mshindi kwa kupata kura 129 na kutangazwa rasmi kuwa ni mshindo wa kinyang'anyiro hicho cha uraisi katika chuo hicho cha uandishi wa habari na utangazaji arusha> PICHA ZA TUKIO ZIMA TEMBELEA BLOG HII SIKU YA KESHO.......................... (ITS SO XCLUSIVE USIKOSE) vimbwangwa na vituko na mengine meeeeeeengi

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages