MSAANII ALBERT MANGWEA APATWA NA MAUTI NCHINI AFRIKA KUSINI - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, May 28, 2013

MSAANII ALBERT MANGWEA APATWA NA MAUTI NCHINI AFRIKA KUSINI

Msanii wa bongo fleva nchini albert mangwea almaarufu ngwea mzee wa free style ameripotiwa kufariki dunia nchini afrika,mtu ambaye ameripoti taarifa hiyo amesema kifo hicho kimemkuta katika hospitali ya st hellen nchini afrika kusini, Taarifa hizo zitaendelea kutoka kila zitakazo tufikia.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages