
Kwawale watakaolipia ada za leseni kwa kipindi kipindi tajwa watalipia ada hizo bila adhabu (Penalty), Baada ya hapo tarehe 21 july 2017 watalipia ada hizo pamoja na adhabu Penalty.
wafanyabiashara wametakiwa kufika ofisi ya mkurugenzi wa Dodoma kitengo cha biashara wakiwa na..
1.Makala ya leseni iliyomaliza muda wake.
2.Tax clearence certificate ya mwaka 2017
Mkurugenzi amemmaliza kwa kuwatakia utekelezaji mwema wafanyabiashara wote ili kuondokana na usumbufu unaoweza kujitokeza.
Hii imetolewa na mh Godwin E. kunambi mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma.