chambuso |
Akizungumza na kipindi cha micharazo time cha 98.4 dodoma fm radio na Benedict Ngelangela Chambuso amesema kwasasa hayupo tena kwenye ufanyaji wa kazi chini mkubwa fella ambaye amedumu nae kwa muda mrefu na amefanikiwa kuwatoa baadhi ya wasanii.
Chambuso amesema kutokana na kazi ambayo ameifanya chini yamkubwa na wananawe ameona imetosha na ni vyema akaendelea kuwasaidia vijana wengine ambao hawajasikika kabisa kwani anaamini watu wenye vipaji vikubwa wapo mitaani na hawajapata nafasi yakuonekana.
Aidha amesema kwasasa anafanya kazi na Aslay na nguvu zake nyingi ameamishia huko.