WASHIRIKI WA MISS DODOMA 2018/2019 WATEMBELEA HOSPITALI KUU YA DODOMA, TAZAMA WALICHO KIFANYA. - NGELANGELA NEWS

Post Top Ad

Sunday, June 3, 2018

demo-image

WASHIRIKI WA MISS DODOMA 2018/2019 WATEMBELEA HOSPITALI KUU YA DODOMA, TAZAMA WALICHO KIFANYA.

Responsive Ads Here
Warembo wanaoshiriki kinyang'anyiro cha Miss Dodoma 2018 wakiongozwa na mratibu wa Miss Dodoma mwaka huu Anna Kimpa kwapamoja wameunga mkono kampeni ya Dodoma kuwa ya kijani kwa kupanda miti katika hospitali kuu ya la jijini Dodoma.
34203663_1623680924396262_5632532863455854592_n
Washiriki wa Miss Dodoma 2018
Tukio hilo lililofanyika june 2, 2018 lilifanyika kwa lengo la kuwazungusha washiriki hao kwa watu wenye mahitaji mbalimbali pamoja na kujifunza jinsi gani yakuishi na jamii inayo wazunguka, jambo lingine lililofanywa na warembo ni ufanyaji wa usafi katika hospitali hiyo.

TAZAMA PICHA.
34190330_1623681324396222_4439399774784847872_n
Wakiwa kwenye moja ya mti waliupanda
34158947_1623681451062876_1233153791503630336_n
upandaji wa miki ukiendelea
34143594_1623681217729566_6082370463680430080_n
wakikabidhi moja ya misaada walizopeleka katika hosptal hiyo
34284604_1623681101062911_6609581633454473216_n
wakitazama wagonjwa
34320686_1623681007729587_6300062324187201536_n
wakiwa kwenye picha ya pamoja na uongozi wa hospitali.

Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *