MRISHO MPOTO V/S DIAMOND (KAA HAPA) TV SHOW - NGELANGELA NEWS

Post Top Ad

Sunday, June 3, 2018

demo-image

MRISHO MPOTO V/S DIAMOND (KAA HAPA) TV SHOW

Responsive Ads Here
KAA HAPA ni kipindi maalumu kinachorushwa kila jumatano na jumamosi ndani ya TBC1 kuanzia saa 4 kamili usiku. Hiki ni kipindi kilichoanzishwa na msanii nguli Nchini Tanzania Mrisho Mpoto. Lengo la Mpoto kuanzisha kipindi hiki ni kuwaleta pamoja serikali(watawala) na Wananchi (watawaliwa). Hili ni jukwaa la wananchi kusemea shida zao, ni jukwaa pia kwa viongozi wa serikali kutolea ufumbuzi kero za wananchi wa Tanzania. Kwenye kipindi hiki wanaalikwa viongozi wa serikali, wasanii, wafanyabiashara, wananchi wa kawaida, wakurugenzi wa taasisi mbalimbali na watu wengine maarufu ili kujadili mambo mbali mbali kwenye jamii. Huu ni mchango wa Mpoto kama msanii kwa taifa lake.

SOURCE: Mrisho Mpoto Youtube


Post Bottom Ad

Pages

Contact Form

Name

Email *

Message *