
NEDY MUSIC amezungumza mengi kuhusu maisha yake kupitia kipindi cha burudani kinachorushwa na kituo cha radio 98.4 Dodoma fm radio nakusema katika maisha yake ya muziki hatakuja kumsahau mwanamuziki Barnaba boy kwasababu ndie msanii wa kwanza kumpa moyo kwa kumwambia kuwa anaweza kuwa msanii mkubwa.
pia Nedy Music amesema kabla hajawa mwanamuziki alikuwa ni mcheza muziki (dancer) lakini alipo fika kidato cha pili aligundua kuwa anaweza akawa mwanamuziki.
MSIKILIZE HAPA NEDY MUSIC AKIZUNGUMZA NA BENEDICT NGELENGELA KUPITIA KIPINDI CHA
http://www.hulkshare.com/ngelangelanews/nedy-music-exclusive