![]() |
Nyuma ni Jacco beat akiwa na Wise one |
pia wamesema wamepanga kuleta utofauti wa muziki kwani wamejifunza mengi sana baada ya kutembea sehemu tofauti tofauti na kujua zaidi watu wanafanya nini na mashabiki wanahitaji nini zaidi kwenye muziki.
kuhusu tarehe ya kuutoa wimbo huo bado haijawa rasmi lakini wimbo huo tayari umesharekodiwa.