
Makangale amesema anatarajia kuachia wimbo alio ufanya na wasanii wa wawili wa mkoani Dodoma ambao ni One Six pamoja na Sparrow wa mawazo nitulize, akielezea wimbo huo umeutaja kuwa ni wimbo wenye miondoko ya mduara na vionjo vya asili.
sababu ya kufanya muziki wa aina hiyo ni kutokana na kuwa anauhusudu muziki wenye vionjo vya namna hito.
SOURCE: MICHARAZO TIME 98.4 DODOMA FM RADIO.
NA BENEDICT NGELANGELA.