Akizungumza na dodoma fm Radio kwenye show ya micharazo time inayo ongozwa na Benedict Ngelangela pamoja na Hamisi Makoa amesema kwa sasa amejipanga kufanya mapinduzi makubwa kwenye muziki wa dodoma na Tanzania kwa ujumla kwani kuna kolabo mbili alizo fanya na wasanii wakubwa zinakuja.
Alipoulizwa ni wasanii gani amefanya nao kazi alikuwa tayari kumtaja msanii mkubwa ambaye ni Barnaba boy wa THT na kuwa wamesha maliza kazi na hivi karibu ipo tayari kutoka.

Aidha hakushindwa kuacha kumshukuru aliye sababisha yeye kufanya kazi na barnaba kuwa Ruge mtahaba wa clouds media groups.
na hivi karibuni anatarajia kufanya video na sulesh marah kutoka dodoma.