R KELLY KAPIGWA NA KUDHALILISHWA MARA BAADA YA KUKATAA KUFANYA SHOW. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, February 3, 2015

R KELLY KAPIGWA NA KUDHALILISHWA MARA BAADA YA KUKATAA KUFANYA SHOW.

 

 Msanii mkongwe wa R&B  kutoka Marekani ameingia kwenye misukosuko mara baada ya kuacha kufanya show katika club ya gulf port.www.ngelangelanews.blogspot.com

Kulingana na taarifa, inasemekana R.kelly alitekwa na kupigwa na vijana wa kundi moja linalo jiita Goons mara baada ya kugoma kufanya show kwenye club hiyo.Madai ni
kwamba alipewa hela kwaajili ya ku-perform lakini yeye hakufanya hivyo.
Sababu zilizo pelekea R.kelly kutofanya show hiyo ni kutokana na kuwa na uvamizi wa majambazi katika club hiyo mara kwa mara.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages