TANZIA:MSANII RADIO TOKA KUNDI LA GOODLIFE UGANDA AFARIKI DUNIA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, January 31, 2018

TANZIA:MSANII RADIO TOKA KUNDI LA GOODLIFE UGANDA AFARIKI DUNIA

Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda, Radio amefariki dunia.
Image result for MEMBER FROM GOODLIFE RADIO IS DEAD
Msanii huyo ambaye alikuwa akifanya vizuri na mwenzie Weasel,  tangu January 23 mwaka huu hali yake ilikuwa ikiripotiwa kuwa mbaya kufuatia majereha aliyoyapata kutokana na ugomvi wa klabu.
Hapo jana Rais wa Uganda, Yoweri Museven alitoa Milioni 30 kwa ajili ya  matibabu ya msanii huyo, pia kulikuwa na maombi maalumu yalikuwa yameandaliwa kwa ajili ya kumuombea ambayo yalitarajiwa kufanyika February 4 mwaka huu katika kanisa la Light the World.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages