Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya kidato nne ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia saba.
Hapo chini tumekuekea shule 10 bora na shule 10 za mwisho kwa mujibu wa matokeo hayo
SHULE 10 BORA.
1. St. Francis Girls ya Mbeya
2. Feza Boys ya Dar es salaam
3. Kemebos ya Kagera
4. Bethel Sabs Girls ya Iringa
5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro
6. Marian Girls Pwani
7. Canossa ya Dar es salaam
8. Feza Girls ya Dar es salaam
9. Marian Boys ya Pwani
10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam
SHULE 10 ZA MWISHO KITAIFA
10. Mtule ya Kusini Unguja
9. Nyeburu ya Dar es salaam
8. Chokocho ya Kusini Pemba
7. Kabugaro ya Kagera
6. Mbesa ya Ruvuma
5. Furaha ya Dar es salaam
4. Langoni ya Mjini Magharibi
3. Mwenge S.M.Z ya Mjini Magharibi
2. Pwani Mchangani ya Kaskazini Unguja
1. Kusini ya Kusini Unguja