IMMA SADALA -- AWATAJA WANAFKI WA MUZIKI WA DODOMA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, January 25, 2018

IMMA SADALA -- AWATAJA WANAFKI WA MUZIKI WA DODOMA.

Mkali wa mrdia toka Dodoma wakuitwa Imma Sadala amelitoa Dukuduku lake kuhusu nini kimekuwa kikisababisha muziki wa dodoma kushindwa kupiga hatua na kubaki katika level ya kimkoa.
Image result for imma sadala
Akizungumza na Dodoma fm radio kipindi cha Micharazo Time Sadala amesema mwaka 2017 aliacha kuwapa sapoti wasanii wadodoma kwa kuchagua nyimbo zao radioni kutokana na wengi aliokuwa anawasapoti nakufanya kazi walikuwa wanashindwa kurudisha shukrani na mwisho wasiku wamekuwa wakionesha dharau kwa watu wa media tofauti na wasanii wakubwa.

Pamoja na hayo wasanii Sadala amesema kumekuwa na unafki mwingi kwenye game la dodoma kwani watu wameshindwa kuwa wanaambizana ukweli na kuishia kusifiana uongo hata kama kitu hakijakaa sawa hususani upande wa nyimbo.

Sadala anasema ilimuziki wa dodoma ufike mbali ni lazima watu waanze kuambiana ukweli itapunguza kwa idadi kubwa watu wasio na kazi mbovu. "kwa hiyo watu wanafki ni watu wasopenda kusema ukweli"

kwasasa Imma Sadala anamsimamia mwanadada wakuitwa Betty Hizo anae fanya muziki wa hip hop na ameachia wimbo wake wa kwanza unaitwa viulizo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages