AJALI ALIYOIPATA JACO BEAT, MCHUNGAJI ZAYUMBA ATAJWA, ULEVI NI SABABU.. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, January 3, 2018

AJALI ALIYOIPATA JACO BEAT, MCHUNGAJI ZAYUMBA ATAJWA, ULEVI NI SABABU..

usiku wa Trh 2, january msanii wamuziki wakizazi kipya kutoka Dodonma ambaye pia ni mmiliki wa label ya Peremende Music Jaco Beat alipata ajali ya boda iliyosababisha kupata ganzi upande mmoja wa mwili wake pamoja na majeraha yalisababishwa alazwe.
jaco akiwa hospitalimi

Jaco amesikika akielezea kilichosababisha ajali hiyo kupitia kipindi cha Micharazo time ya Dodoma fm radio nakusema ajali hiyo imetokea wakati akitoka kutafuta chakula cha usiku ndipo boda boda iliyokuwa mwendo kasi ilivyo mvamia na kumtupa mbali hata hivyo wasamalia wema waliweza kumpa masaada kwa haraka.

Jaco ameongeza nakusema aliyekuwa anaendesha boda boda hiyo alikuwa amelewa na alikuwa mwendo kasi ndio maana alimfata upande wake aliokuwa anatembea.
jaco beat

kwaupande mwingine Jaco amesema mtu ambaye amegonga ni mdogo wake msanii mchungaji Zayumba ambaye hivi karibuni alikuwa kwenye hali yakutoelewana kutokana na kitu alichodai kuwa alimfanyia figisu kwenye moja ya show ambayo ilifanyika 2017 ili asilipwe.

Pamoja na hayo yote kupitia ukurasa wa facebook wa mchungaji zayumba aliwapatia pole wote wawili nakuwaomba mashabiki zao wawaombee katika kipindi hiki.
kwasasa Jaco beat ametolewa hosptilini na anapata matibabu 

source micharazo time 98.4 dodoma fm radio.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages