UJIO MPYA WA AINE HUU HAPA, AWATAKA MASHABIKI KUSUBSCRIBE CHENEL YAKE YA YOUTUBE - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, August 18, 2017

UJIO MPYA WA AINE HUU HAPA, AWATAKA MASHABIKI KUSUBSCRIBE CHENEL YAKE YA YOUTUBE

Msanii wa muziki kutoka Dodoma Tanzania ametangaza kuja na ujio wa nyimbo mpya ambayo bado hajaweka wazi kuwa wimbo huo unahusu nini na ni nani mtayarishaji mkuu.
Image result for ainea
Ikumbukwe Ainea ambaye aliwahi kutamba na kibao kama sina mpango nae mara ya mwisho kuachia wimbo ilikuwa ni mwishoni mwa mwaka jana na amekaa kitambo kirefu bila kuachia kazi yoyote ya muziki.

kupitia ukurassa wake wa facebook Ainea aliweka wazi kuwa yupo tayari kuachia kazi mpya.

NIMDA MREFU NIMEAHID KUACHI WIMBO MPYA LEO NDO NITAWEKA TEASER YA VIDEO YANGU MPYA TEASER HYO ITAKUWA KWENYE YOUTUBE CHANEL YANGU AINEA AINEA SUBSCRIBE YOUTUBE CHANEL YANGU AINEA AINEA ILI UWE WAKWANZA KUIONA
PIA Naruhusu maswali nitayajibu hapa hapa coz inbox siwezi wajibu wote pia nisaidie kushare hii post iwafikie wengi.
aliandika Ainea facebook

 

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages