MAMLAKA YA MAJI MKOANI DODOMA WAJA NA TECHNOLOJIA MPYA YAKUMUHUDUMIA MTEJA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, August 19, 2017

MAMLAKA YA MAJI MKOANI DODOMA WAJA NA TECHNOLOJIA MPYA YAKUMUHUDUMIA MTEJA.

Katika kuboresha na kuimarisha  huduma ya maji mkoani Dodoma Mamlaka ya Maji mkoani hapa (DUWASA) wameendelea kutanua wigo wa tenkonolijia kwa kutumia simu za kisasa maarufu kama adroid kwa ajili ya kuhudumia wateja wao.
Image result for DUWASA
Hayo yamesemwa na mkuu wa mawasiliano mamlaka ya maji (DUWASA) mkoani hapa Bw. Sebastiani Warioba wakati akizungumza na kituo hiki ofisini kwake, ambapo ameseama kuwa tenknolojia hiyo inasaidia mkupata takwimu sahihi kutoka kwa mteja.


Aidha Bw. Warioba amewataka Wananchi mkoani hapa kutumia mitandao ya maji taka vizuri kwa kutokutupa taka ngumu kwenye mitandao hiyo na badala yake waitumie mitandao hiyo kwa kutupa taka laini ili kuzuia kuziba kwa mitandao hiyo.


Mbali na hayo Bw. Warioba amefafanua kuwa kwa kipindi hiki wakati serikali ikiendelea kuhamia mkoani hapa, serikali imejipanga kugharamia ujenzi wa bwawa jipya la Falkwa kilometa 130 kutoka Dodoma mjini kuelekea wilaya ya Chemba ambapo bwawa hilo litatumika kuhudumia 


Na Japhet Japhet             Chanzo Dodoma FM 

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages