MSANII ONE SIX AOMBA MAOMBI KWA WADAU BAADA YA HALI YAKIAFYA KUWA MBAYA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, July 20, 2017

MSANII ONE SIX AOMBA MAOMBI KWA WADAU BAADA YA HALI YAKIAFYA KUWA MBAYA.

Msanii wa muziki kutoka Dodoma Tanzania Onesix ametumia ukurasa wake wa facebook kueleza kinacho msumbua kiafya nakuwaomba wadau na masabiki zake wamuombee ili arudi kwenye hali yake ya kawaida.

Hivi karibuni kupitia kipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio Onesix aliripotiwa kupata homa iliyopelekea kulazwa na baada ya wiki moja alipona kabisa.

HIKI NDICHO ALICHOANDIKA ONE SIX KWENYE UKURASA WAKE FB.

Daaah ndug zang hali imenirudia tena naumwa Sana siku ya nne tang nipost post ya mwisho........maombi yenu ndio yalinisimamisha mara ya kwanza na nikasimama so plz naomba sana ndug zang na mi pia najiombea mwenye uhitaj wa kuniona aje nyumbani kisasa kw mama.......karibun sana


Image may contain: one or more people and indoor

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages