![]() ![]() |
JACQUELINE MATERU & SONNATHA NDUKA |
Mchezo ulianza baada ya Sonatha Nduka kusifiwa kuwa ameedit vizuri moja ya filamu ambayo imetoka hivi karibuni ambayo imechezwa na mwanadada Jacline Materu ndipo muhusika ambaye ni Jacqueline Materu kuja nakucomment kwakutumia neno ambalo lilionekana kama vile Jack amempuuza SONNATHA. (EDITING MY FOOT).
SOMA JINSI COMMENT ZA INSTAZILIVYOKUWA ZIKIENDA.



