HUU NI MUONEKANO MPYA WA MSANII NYOTA TOKA DODOMA MONI CENTRALZONE. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, March 29, 2017

HUU NI MUONEKANO MPYA WA MSANII NYOTA TOKA DODOMA MONI CENTRALZONE.

Sio jambo lakushangaza pale msanii anapokuwa anatafuta muonekano tofauti utakaomfanya aonekane mwenye muonekano hadimu na utamfanya kuwa tofauti.
Image may contain: 1 person, sunglasses
MONI akiwa kwenye muonekano wa zamani
Mara nyingi tumemuona MONI akiwa kwenye muonekano wa kupunguza nywele lakini hivi sasa MONI amekunya na muonekano wa Dread kwenye kichwa chake.

TAZAMA HII PICHA HALAFU MPE CREDIT.
Image may contain: 1 person, closeupImage may contain: one or more people, shoes and closeup

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages