wakiongea na 98.4 Dodoma fm radio wananchi waliofika kwenye tukio hilo wamesema walifikia uamuzi huo mwezi huu kwani wamekuwa na changamoto ya ukosefu wa wahudumu wa afya kwa muda mrefu.
Mtangazaji wa kipindi cha AFRICA MOTO toka 98.4 Dodoma fm radio VICTOR MAKWAWA alifika sehemu ya tukio na kuzungumza na wananchi pamoja viongozi wa serikali akiwemo Diwani wa kata hiyo pamoja na Afisa Mtendaji wa kata hiyo.
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI YA TUKIO ZIMA JINSI LILIVYOKUWA.