![]() |
Add caption |
Hayo yamezungumza na msanii huyo katika kipindi cha Micharazo Time toka 98.4 Dodoma fm radio kinacho ongozwa na Benedict Ngelangela nakusema ameamua kufanya muziki wa Hip Hop kwenye ujio wake mpya kwasababu anataka kuwaonesha mashabiki zake kuwa anauwezo waziada kwenye game la muziki pamoja na kufanya vitu vingi.
BONYEZA HAPA KUSIKILIZA FULL INTERVIEW