
ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha micharazo time kutoka 98.4 dodoma fm radio na Benedict Ngelangela nakusema amekuwa akikutana na misuko suko mingi lutokana kwa meneja huyo kwani amekuwa akiingilia kazi zake pamoja na kuzikosoa bila sababu ya msingi.
pia amesema kuwa meneja huyo alisha wahi kuweka kampeni ya yeye kukosa tuzo ya Nyambago lakini alishindwa kwani aliipata.
BADO TUNAFANYA HARAKATI ZA KUMTAFUTA FRANK MUSIC
BONYEZA HAPA KUSIKILIZA FULL INTERVIEW YA JACO BEATZ