AINEA AITAJA SABABU YA MCH ZAYUMBA KUTO KUWEPO KWENYE SHOW YAKE SABABU NI UTATA MTUPU. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, January 26, 2017

AINEA AITAJA SABABU YA MCH ZAYUMBA KUTO KUWEPO KWENYE SHOW YAKE SABABU NI UTATA MTUPU.

Msanii wa muziki Ainea amesema alipanga kufanya kazi na msanii anaye toka nae sehemu moja mkoani Dodoma katika show yake ya birthday part lakini alizuiliwa na mmiliki wa ukumbi wa Kili time uliopo makulu mkoani Dodoma.
Image may contain: 11 people, people smiling
1

hayo ameyazungumza Ainea katika kipindi cha Micharazo Time alipoulizwa kwanini kwenye list ya wasanii alio nao hayupo msanii anaetoka nae mtaa mmoja licha ya kuwa show hiyo inafanywa ndani ya mtaa huo wa makulu ndipo aliposema kuwa alipewa mashart kuwa endapo atahitaj show hiyo ifanyike basi asimuweke msanii mwenzake huyo mwenye ushawishi mkubwa Dodoma Mch Zayumba.

haijajulikana ni kwanini mmiliki wa ukumbi alimkataa msanii huyo kuhudhulia kwenye show hiyo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages