![]() |
onesix |
sasa kama ilivyo ada ya wasanii wengine wakifurahishwa na jambo lazima wazungumze jambo sasa msanii huyo ambaye kwasas anatamba na wimbo wake wa Mama Dont cry ameandika maneno yashukrani kwakile ambacho mashabiki mwalimuonesha kwenye show hiyo ya BYK party.
YAMESOMEKA HIVI.
######Asanten Wana dodoma kw kushow love ktk show yetu Ile Ile ya nyumban #byk magheton show ambayo utukutanisha watu ambao hatukuonana kitambo na kusherehekea pamoja.......... Dah ki ukwel mliamsha sana Sina cha kuwalipa watu wa mungu Zaid ya kuwatakia maisha marefu......######
Hivi karibuni pia msanii huyo anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya.