MC PILI PILI AENDELEA KUSAIDIA VIPAJI VYA DODOMA BAADA YA SHAZY MELODY SASA NI ZAMU YA MECXSON PETIT KISININI - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, December 9, 2016

MC PILI PILI AENDELEA KUSAIDIA VIPAJI VYA DODOMA BAADA YA SHAZY MELODY SASA NI ZAMU YA MECXSON PETIT KISININI




Kupitia kipindi cha micharazo time toka 98.4 Dodoma fm radio kinachoongozwa na Benedict Ngelangela  MC Pili Pili ambaye hivi karibuni amejishindia tuzo ya THE BEST MC OF THE YEAR kupitia tuzo za INSTA amesema mara nyingi amekuwa akiulizwa swali na wakazi wa dodoma kuwa ni lini ataanza kuwasaidia vijana wenye vipaji kutoka Dodoma na ilikuwa ikumuumiza kwasababu alikuwa bado hajapata nafasi ya kuanza kufanya kazi na vijana wadodoma kwani naye alitakiwa nae kujitangaza zaidi.

MC PILI PILI ameongeza nakusema kwasasa ameanza kufanya shughuli hiyo ya kusaidia vipaji vinavyo toka ndani ya mkoa wadodoma kwani tangu aanzishe kampuni yake ya Pilipili Entertiment ameanza kupata watu wakufanya nae kazi na tayari amemsaini msanii wakuimba wakuitwa SHAZZY MELODY.

Kwaupande mwingine Mc Pili pili amesema kwaupande wa kazi ambaye anaifanya yeye ya kusherehesha tayari amemsainishi Mc ambaye anakuja kwa kasi na kufahamika kwa jina la Mc MEXSON PETIT KISININI ambaye pia anafani ya utangazaji.
Add captionMC MEXON KISNINI


HUYU NDIYE MC PETIT KISININI.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages