SHANGWE ZA WAKAZI WA KIKUYU MKOANI DODOMA WAKATI 98.4 DODOMA FM RADIO NA VODACOM WAKIMSAKA MKALI WA KITAA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, November 9, 2016

SHANGWE ZA WAKAZI WA KIKUYU MKOANI DODOMA WAKATI 98.4 DODOMA FM RADIO NA VODACOM WAKIMSAKA MKALI WA KITAA.

Kufuatia tamasha linalotarajiwa kufanyika mwezi wa 12 mwaka huu ambalo linaandaliwa na kituo cha radio Dodoma fm radio kwa ushirikiano na Vodacom Tz wameamua kutoa saport kwa wakazi wa Dodoma kwa kupita mitaani kusaka vipaji katika uimbaji, kucheza na kuchekesha na washindi wakijipatia zawadi kabambe kutoka Vodacom.

Na mtaa wa kwanza ulio anza kupata burudani hiyo ni Nzuguni ikifuatiwa na Kikuyu.

TAZAMA VIDEO KILICHOJIRI KIKUYU WAKATI WAKUMSAKA MKALI WA KITAA ILIYO ANDALIWA NA DODOMA FM RADIO.


Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages