
Akizungumza na kipindi cha Micharazo time Nillah amesema masahbiki wa muziki wategemee kitu kikibwa sana ambacho hawajawai kukiksikia kutoka kwake.

kwenye show hiyo Nila amesema show ambayo ataionesha ni show ambayo hajawai kupiga tangu aanze muziki, akiongea kwa tabasamu ya hali ya juu Nillah amesema huku akicheka kuwa atadondosha mauno ya hali juu siku hiyo.
Show ya kuzaliwa kwa AINEA itafanyika siku ya 27 jan 2016 kwenye ukumbi wa kili time makulu hakikisha hii haikupiti.