GIFTED COIN BOY FT MONI CENTRAL ZONE SONG - SHAOLIN LODING...... - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, January 15, 2016

GIFTED COIN BOY FT MONI CENTRAL ZONE SONG - SHAOLIN LODING......

Ni msanii kutoka Dodoma wakuitwa Gifted Coin boy ambaye ametamba na kibao chake chakuitwa Coin Boy pamoja na nyingine kibao alizo shirikishwa kwenye nyimbo za wasanii wenzake wa mkoa wadodoma.
gifted coin boy (shoulin)
Gifted ameiambia micharazo time ya 98.4 dodoma fm radio kuwa hivi karibuni anatarajia kuachia kibao chake kipya ambacho kamshirikisha msanii kutoka Central zone wakuitwa MONI ambaye kwasasa anatamba na kibao chake cha kirikuu.

Gifted ameyaja jina la wimbo huo kuwa utaitwa Mr Shaolin na wanataraji kuutoa hivi karibuni kutoka sasa,  pia amewaomba mashabiki wa muziki kumsapoti pia pindi kazi hiyo itakapo toka.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages