KOKU--- RUSHWA YA NGONO TOKA KWA MAPRODUCER NA WATANGAZAJI NI KIKWAZO CHA WASANII WA KIKE DODOMA KUENDELEA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 12, 2016

KOKU--- RUSHWA YA NGONO TOKA KWA MAPRODUCER NA WATANGAZAJI NI KIKWAZO CHA WASANII WA KIKE DODOMA KUENDELEA.

Msanii wakike toka dodoma koku the dreamer ameamua kufunguka yaliyo mjaa kwenye moyo wake kuhusu muenendo wa muziki toka dodoma hususani kwa watoto wa kike.
mariam koku akiwa na ney wamitego
KOKU kupitia kipindi cha micharazotime cha 98.4 dodoma fm radio aliulizwa na muongozaji wa kipindi hicho (benedict ngelangela) kuwa ni kwanini wasanii wakike ni wachache sana KOKU amesema moja ya sababu ni miongoni mwa maproducer wa muziki na watangazaji wa radio kuwataka kimapenzi kinadada wanao anza muziki.
mariam koku kwenye pozi
aidha koku amewataka wasanii wakike kujitua na kutokuwa waoga kwani zipo changamoto ambazo zinaweza kuwakatisha tamaaa ambazo wanatakiwa kuvumilia.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages