1 A FM leo watakuwa Club 7 wakiangusha burudani na msanii kuttoka WCB HARMONIZE na mkali wa hip hop STAMINA..
2.CLUB PERUGINA leo ukifika utakesha pamoja na Mh TEMBA&CHEGE kwa kiingilio cha shilingi 10000 tu.
3. MASTER PUB kutakuwa na band ya SAKI STAR. (bure)
4.CLUB LAAZIZ kutakuwa na band ya TNC BAND (bure)
