lakini pia ni kati ya wasanii watakao piga show siku ya dodoma festival dec 2015, leo atakuwa live kwenye Micharazo time ya 98.4 dodoma fm radio, kuanzia saa 11 jioni hadi 2 usiku.

About inngelangelanews.blogspot.com
msanii wa mziki kutoka WCB amepokelewa kwa kishindo baada ya kushinda tuzo ya BET, na wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kumpokea. TAZAM...