
Wewe ni msikilizaji wa ABM radio dodoma ujumbe huu toka kwa Dvj Rodjer unakuhusu soma alichoandika kwenye ukurasa wake wa facebook.
Asanteni sn Wadau Wote mnaoendelea kusaport na kuwezesha Vipnd mbalimbali vya Abm Radio 2nawapenda, 2nawajal na Kuwathamini ndio maana Maana 2mewashirikisha kwny hili na bila nyinyi wadau hakuna Radio wala Presenter au Dj Sasa 2naelekea kukamilisha Mwaka mungu akipenda 2kiwa pa1 bas 2taenda kuaanza Mwaka mpya Mwingine 2016 bila shaka wote ni wapenda maendeleo ni Muda mzuri ss wa kushauriana kupeana mawazo mazuri ya kujenga ili twende kuboresha Vipnd vye2 hapa Abm Radio unadhani nn kifanyike ili kuboresha vipind vye2 Naomba mawazo yako mazuri ili 2ende kuaanza Mwaka kwa kas nyingine naomba 2share mawazo sababu ww ni m2 muhimu kbs 2endelee kupiga kaz nzur km ilivyo kauli mbiu Mh Rais Magufuli HAPA KAZI 2##Nawapenda wote Na Siku njema Mungu awe nanyi!!