MSANII WA KIKE TOKA DODOMA CHUBBY ATOA MANENO MATAMU KWA MASHABIKI ZAKE. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, October 9, 2015

MSANII WA KIKE TOKA DODOMA CHUBBY ATOA MANENO MATAMU KWA MASHABIKI ZAKE.

Kutoka kwenye ukurasa wa facebook wa msanii Chubyy wa B1 records ameeandika maneno haya kuwasahukuru mashabiki zake amabo wamekuwa wakifuatilia mziki wake pamoja na kuiomba kwenye vyombo mbalimbali vya redio.
Chubby kwasasa anatamba na wimbo wake alio mshirikisha  Bushoke uitwao Peku Peku.
SOMA ALICHO ANDIKA CHUBBY.

@@@@Miss chubby want to say thank u to ol funs who have been requesting for her song every day and thanks to those who supported her in hard times, please keep on requesting for her songs as many as u can for now she got three songs: 
@ sifa nakupa _ chubby ft. meezy de raper
@ Hakuna tofauti _ chubby ft.one six
@ Pekupeku. _ chubby ft. Bushoke
It's my pleasure to post this onbehalf of our queen chubbylonso under the management of kidmane and eng.msofe from B1 recordz.
Luv u ol@@@@@@

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages