AMINI USIAMNI HUU WIMBO NI FUNGA MWAKA 2015. SHENTEE FT P MASS&NEW MAN SONG LIBOSOO - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, October 10, 2015

AMINI USIAMNI HUU WIMBO NI FUNGA MWAKA 2015. SHENTEE FT P MASS&NEW MAN SONG LIBOSOO

Ni vijana toka dodoma licha ya kuwa ni wajasiriamali lakina pia wanauwezo mzuri wa kucheza na MIC pamoja na kutengeneza muziki mzuri.
hapa wanakuletea wimbo mpya walio upa jina la Libosoo ambao umetengenezwa kwenye studio za AJ PRODUCTION na miondoko ya wimbo huo ni AFRO POP.
hivi karibuni utausikia kupitia mtandau huu na vyombo mbalimbali vya habari.
STAY TUNNED.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages