Mshiriki aliye kuwa akishiriki kwenye shindano la kwetu house kutoka Dodoma Robby mgaya kwasasa ametoka kwenye shindano hilo na amechukua fursa kupitia account yake ya facebook kuwashukuru baadhi ya wadau walio kuwa wakimsapoti wakati yupo kwenye shindano hilo.
NA HIKI NDICHO ALICHO ANDIKA.
Finally nko nje ya shindano la kwetu house..nau nko naelekea dodoma..nashukurun saana kwa love mlionionesha nmefalijika saaaana.. cna cha kuwalipa wanangu zaid ya kuwaombea baraka zaid kwa mwenyez mungu..mbalikiwe saaana..#harakatizinaendelea