Moni awadh ambaye kwa sasa yupo Dar akiandaa project zake chini ya usimamizi wa Tongwe Records amepost picha ambayo inaonesha ujio mpya ambao atakuja nao hivi karibuni.

About inngelangelanews.blogspot.com
msanii wa mziki kutoka WCB amepokelewa kwa kishindo baada ya kushinda tuzo ya BET, na wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kumpokea. TAZAM...