leo katika pita pita zangu kwenye mitandao nimekutana na post toka The capital Tz ikionesha list ya watu waliopita 20 bora kwenye shindano la KWENTU HOUSE ambalo lipo chini ya AZAMTV ndipo nilipo kutana na sura ya Robby Mgaya japo mwandishi wa story hiyo haku elezea kwa kuwataja majina.
SWALI ni je Robby Mgaya ni miongoni mwa washiriki? au alikuwa anafanya kitu ani.
ukiitazama picha hapo chini utaona kutoka kushoto walio simama wa pili ndiye Robby Mgaya.
kutoka kushoto walio simama wapili ni Robby mgaya. |