MPENZI MPYA WA MSANII JACCO BEATZ NI HATARI, WAZAMANI AHAHA KURUDISHA NAFASI ATISHIA KUMNYOOSHA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, July 24, 2015

MPENZI MPYA WA MSANII JACCO BEATZ NI HATARI, WAZAMANI AHAHA KURUDISHA NAFASI ATISHIA KUMNYOOSHA.

Mkali wa ngoma ya umejiroga toka dodoma JACCO BEATZ ameingia kwenye hali ngumu baada ya kumpost mpenzi wake mpya aitwae Irene Joseph kwenye ukurasa wake wa facebook na aliye kuwa mpenzi wake wa zamani Cleopatra Poulsen ambaye inasadikika kuwa zamani walikuwa marafiki na Irene amekoment kwenye picha hiyo na muhusika mkuu (J) kudai kuwa Mchana uyo amekoment kinafki.
jacco beta akiwa na mawazo tele.
Pia mtandao huu umezipata nyepenyepe zisizo na uhakika kuwa Cleo ambaye ni X wa Jacco ametishia kumtafuta Irene na kumfundisha adabu (kipigo) kwa kutembea na shemeji yake wa zamani.
irene mpenzi mpya wa Jacco.
MWANDISHI wa mtandao huu baada ya kuzipata nyepenyepe hizo alimtafuta JACCO BEAT ambaye ndie muhusika mkuu na kuuliza nini kinaendelea kati ya wasichana hao JACCO amekiri kuwa kuna beef linaendelea kati ya IRENE na CLEOPATRA kwani hawako vizuri kama zamani kimawasiliano.
Story zilizo enea mjini ni kwamba sababu ya jacco kuachana na cleo ni kwasababu alimshobokea kimapenzi BARAKA DA PRINCE (Alimtaka) na baada ya kumwaga sasa anatapatapa kurudisha penzi kwa Jacco ambaye kwasasa hamuhitaji tena.
USHAHIDI HUU HAPA


Kupata ukweli wa jambo hili mwandishi wa mtandao alilazimika kwa hali na mali kuitafuta namba ya Cleo ili kupata ukweli wa jambo hili lakini kila alipopigiwa simu haikupatikana hewani lakini jitihada za kumtafuta bado zinaendelea kuthibitisha juu ya tuhuma alizopewa na ni kweli alishoboka kwa Baraka da prince.
X wa Jacco CLEO kwenye bonge la pozi

PART 2 LOADING..............

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages