Billboard imeuingiza wimbo wa wa Wizkid “Ojuelegba Rmx”
ambao amemshirikisha drake na skepta kwenye orodha ya nyimbo ambazo
unatakiwa uzisikilize “Must-Hear Music podcast”.
Nyimbo zingine ambazo zimeingia kwenye orodha hiyo ni pamoja na ‘Dirty Work’ ya Austin Mahone, ‘Honeymoon ya Lana Del Rey na’Nada’ ya Kari Faux . Wizkid ni msanii pekee wa Afrika aliyeingia kwenye orodha hiyo.