kituo cha radio cha dodoma fm hivi karibuni kimewatangaza pamoja na kuwapa zawadi wafanya kazi waliofanya vizuri kuanzia mwezi 1 mpaka mwezi 6(nusu mwaka).
zawadi hizo zilizotolewa kwa kugawa vipengele mbalimbali. kama mfanyakazi bora, mtangazaji bora, mwanahabari bora, pamoja na kipengele cha mfanyakazi ambaye ni Nadhifu kwa upande wa kiume na kike.
VIPENGELE HIVYO PAMOJA NA WASHINDI.
*Mfanyakazi bora= MAKOA HAMISI.
*Mwanahabari bora= PASCHAL MWINJE
*Mtangazaji Bora= BENEDICT NGELANGELA.
PIA....
Tuzo ya Mtanashati ikibebwa na VICTOR MAKWAWA na Binti Mrembo ikibebwa na ZANIA MIRAJI.
![]() |
Zania Miraji ambaye ndie meneja wa kituo Akimkabidhi cheti MAKOHA HAMISI ambaye ndiye mfanyakazi bora. |
![]() |
kulia ni meneja wa dodoma fm radio akimpatia cheti Mwanahabari bora PASCAL MWINJE |
![]() |
BENEDICT NGELANGELA akipewa zawadi toka kwa meneja ya kuwa Mtangazaji Bora. |
![]() |
Meneja msaidizi Lucas Godwini kushoto akimpatia zawadi ya cheti VICTOR MAKWAWA Ambaye amechukua zawadi ya usmart boy |
![]() |
LUCAS GODWIN kushoto akimkabidhi zawadi ya kuwa binti Mrembo ZANIA MIRAJI |