
ILE HAMU ya watanzania weng kusubiri ni nani ambaye atakatwa katika kinyang'anyiro CHA KUIWAKILISHA CCM kwenye ngazi ya ugombea urais nchini sasa hadharani majina yametangazwa.
baada ya majina hayo matano kutangazwa ambayo ni JANUARY MAKAMBA,DKT JOHN POMBE MAGUFULI, BERNAD MEMBE,DKT ASHA ROSE MIGIRO, AMINA SULUM ALLY.
katibu wa itikadi siasa na uenezi NAPE NAUYE Mapema leo asubuhi amepata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari.
MSIKILIZE HAPA.