KUNDI LA ROTTEN BLOOD LATOA ONYO KALI KWA VIDEO QUEEN HUYU TOKA DODOMA. SOMA WALICHO ANDIKA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, May 21, 2015

KUNDI LA ROTTEN BLOOD LATOA ONYO KALI KWA VIDEO QUEEN HUYU TOKA DODOMA. SOMA WALICHO ANDIKA.


Hii ni taarifa toka kwa kundi hili la Rotten Blood kwa baadhi ya video queen walishiriki kwenye video yao ambayo ilishutiwa mkoani dodoma.
kupitia ukurasa wa facebook member mmoja toka kundi hil amepost walaka mrefu wenye ujumbe pamoja na kumtaja jina la kiongozi wamamodel ambao ndio wahusika.
SOMA WALAKA WENYEWE.
KUNATAARIFA ZINASAMBAZWA KWA MAPRESENTAR NA WADAU WA MZIKII DODOMA NA DADA MMOJA ANAITWA RECHO KUWA ANADAI MALIPO YA KWENYE VIDEO YETU YA HAPAKALIKI SISI ROTTEN BLOOD NIKIWA KAMA MSEMAJI WAKUNDI MIMI Nasho Busness
Kutokana nataarifa tunazopata kutoka kwa mapresenter,nawadau wengi wa muziki dodoma ,kwamba kuna walioshiriki kama mamodel kwenye video yetu tuliyoshoot dodoma eti tumedhulumu,imebidi tutoe tamko kwa faida ya mashabiki wetu nawadau wa music dodoma waufahamu ukweli.
Sisi binafsi hatupendi kuona tunaigia katika mgogoro na mtu yoyote kwakuwatuko busy kuhakikishakila siku tunatokahatua moja kwenda nyingine,but uvumilivu wetu umefika kikomo kwa sababu model huyo na marafiki zake zake wamezidisha kueneza taarifa za uongo ilimradi watuharibie kwa mashabiki wetu.
Ukweli ni kwamba Hakuna mtu yoyote anayetudai rotten blood kutokana na utengenezaji wa video ya hapakaliki.Nataarifa zinazoenezwa na msichana anayeitwa Rachel kwamba anadai 40,000 ni za uongo na zipuuzwe,ni kweli alishiriki katikavideo kama model lakini hakukua na makubaliano yoyote ya malipo tuliyokubaliana,zaidi tulimchukuria kama team rotten blood maana siku ile tuliwaomba mashabiki kutokea sehemu mbalimbali kama udom,soweto,nkuhungu,area c na maeneo mengine ya dodoma waje kushow love tu…., alianza kusema anatudai wiki mbili baada ya kuiona video imetoka tena kupitia mashabiki zetu,sisi tulikua hatumtambui kwenye bugdet yetu…….
ONYO
Rotten blood ni kampuni iliyosajiliwa na inayotambulika kisheria,kuichafua kwa sababu zisizo na msingi ni kuvunja sheria.Tukiendelea kuona mhusika na kikundi chake wanaendelea kueneza udaku huu tutawapeleka kwenye vyombo vya sheria wakajibu,na kama mtu anasemaanatudai sheria ziko wazi atupeleke kwenye vyombo vinavyohusika na sio kueneza habari hizo mitaani.
USHAURI
Inafikiawakati kama msanii unatakiwa kujitambua……msanii unavyojichukulia ndivyo utakavyochukuliwa na watu wenginee,tujifunze kufuata taratibu za kazi sasa kama umekuja location tu bila makubaliano yoyote, alafu unatakaulipwe tutalipa wangapi sasa maana location walikuawatu kama mia na zaidi,tungetambuaje kama unataka ulipwe wakati huja kubaliana na wahusika chochote?.we must act as professional la si hivyo hatutafika popote.
MWISHO
Management nzima ya rotteen blood tunaomba samahani kwa kipindi chote tulichokaa kimya bila kuzungumzia uvumi huu.Tunawapenda
Mtandao huu ulimtafuta muhusika ambae ametajwa hapo juu (Rachel) alikiri kuwa fahama wahusika hao nakusema kuwa ni kweli alifanya nao kazi lakini hakuwa tayari kulizungumzia suala hilo pamoja na mambo yanayo endelea.
NUKUU TOKA KWA RACHEL BAADA YA KUTAFUTWA NA MWANDISHI WA MTANDAO HUU.
siwezi kuliongelea jambo hilo maana kuna watu may b wanatafuta umaarufu na ni bora ngelangela uniache  coz sipo kwenye mood nzuri kutokana na mambo yngu binafsi na ykifamilia waniache maana naweza nikatukana mtu bure na sitaki kufanya ivyo ngelangela nimesema niache sipo tayari kulisemea jambo hilo.
Rachel muhisika aliyetajwa.

usikose kusikiliza micharazo time siku ya juma tatu ili kuweza kuwasikia watu hao wote wakizungumzia suala hili.98.4 dodoma fm 6 mpka 9 alasiri.
LENGO NI KUJENGA SI KUBOMOA.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages