Nyimbo hii toka kwa kijana mwenye kipaji cha hali ya juu toka mkoa wa dodoma mitaa ya makole ambaye anawakilisha kundi zima la makole hexagon likiongozwa na Bushoke.
wimbo huu unao itwa demu wadom umetengenezwa studio za G Sound chini ya producer Double
SIKILIZA HAPA NA KUSHARE NA WENZAKO.