Huu ndio ujio mpya wa msanii One six kutoka dodoma baada ya kutamba na kibao chake cha Maya sasa amedondoka kwa Joph Master wa Tongwe record na kutengeneza nyimbo hii yakuitwa Yule Yule na amemshirikisha Hard Mad.
isikilize na kushare na wenzako.
About inngelangelanews.blogspot.com
msanii wa mziki kutoka WCB amepokelewa kwa kishindo baada ya kushinda tuzo ya BET, na wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kumpokea. TAZAM...