TAZAMA PICHA ZA WAFANYAKAZI WA DODOMA FM RADIO PAMOJA NA WADAU WALIVYOSHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KATIKA UKUMBI WA MASTER PUB. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, March 9, 2015

TAZAMA PICHA ZA WAFANYAKAZI WA DODOMA FM RADIO PAMOJA NA WADAU WALIVYOSHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KATIKA UKUMBI WA MASTER PUB.

baadhi ya wadau wakiburudika pamoja na mtangazaji wa dodoma radio MC CHINGA aliye katikati
Ilikuwa ni siku ya jumapili tarehe 9, mwezi wa march 2015 ambayo huadhimishwa siku ya wanawake duniani kote,
dodoma fm radio kwa ushirikiano na dodoma entertiment pamoja na baltika zero waliandaa tafrija ya siku iyo fupi iliyo wawezesha kinamama na watu mbalimbali kujumuika na wadau mbalimbal.
TAZAMA PICHA HAPA.
burudani ikiendelea
baltika ndio ilitawala
wachekeshaji toka vituko show wakionyesha ujuzi
baadhi ya wafanyakazi wa dodoma radio wakiwa kwenye utambulisha
vijana wa dodoma entetiment wakitoa burudani

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages