EMMA THE BOY CLASSIC NDIYE MUIGIZAJI ANAE CHIPUKIA KWA KASI TOKA DODOMA, NAKUUMIZA VICHWA VYA WAIGIZAJI KIBAO. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, March 10, 2015

EMMA THE BOY CLASSIC NDIYE MUIGIZAJI ANAE CHIPUKIA KWA KASI TOKA DODOMA, NAKUUMIZA VICHWA VYA WAIGIZAJI KIBAO.

 
































Ukizungumzia kati ya mikoa ambayo inavipaji ambavyo vina kidhi hadhi ya kimataifa basi lazima uutaje Mkoa wa dodoma
kwa kujaliwa na vijana ambao wanauwezo mkubwa wakufanya vitu mbalimbali vya kufurahisha jamii.



Alianza kwa kupendelea kutazama movie na filamu za kibongo na za kihindi na ndipo alipo jigundua kuwa anauwezo wa kuigiza na kufanya kamawengine kwenye gemu la uigizaji.hapa anazungumziwa msanii wa maigizo Emma de boy classic ambaye ameshiriki kwenye filamu ambayo inatarajia kutoka hivi karibuni ambayo kacheza kama main character pamoja na RACHEL NJINGO.
 
Akihojiwa kwenye kipindi cha MAKUTANO YA VIJANA ndani ya 98.4 dodoma fm radio kikiongozwa na LIVINGSTONE MWANGINGO Emma amesema anajikubali anauwezo wa kufika mbali kutokana na kipaji chake kuwa kikubwa zaidi
 
@@@malengo yangu kuwa msanii wakimataifa maana kipaji changu si cha east africa tuu bali ni dunia nzima@@
kuhusu ni msanii gani wa sanaa ya uigizaji anamkubali hakusita kumtaja Ray Kigosi toka bongo movie.
pia hajaacha kuwaomba wapenda sanaa wa dodoma  na tanzania kwa ujumla kuisapoti filamu ambayo inatarajia kutoka hivi karibuni ambayo imeshirikisha waigizaji wa kutoka dodoma.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages