WATU WATANO WAPIGWA RISASI NDANI YA CLUB WAKATI CHRISS BROWN AKI PERFOM - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, January 12, 2015

WATU WATANO WAPIGWA RISASI NDANI YA CLUB WAKATI CHRISS BROWN AKI PERFOM

Mapema jumapili hii BROWN alikua aki perform katika ukumbi wa San Jose Night Club mida ya saa 1:30 AM,watu walionekana wenye furaha wakifurahia show hiyo ya mkali wa hit song ya LOYAl ghafla ikasikika milio ya risasi kitu kilicho msababisha mpaka BROWN mwenyewe ku panic..... 
 
Chanzo cha vurugu hizo bado hazijajulikana,na polisi wanafanya uchunguzi. 
       


Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages